CHIKUNGUNYA


 

Ni ugonjwa wa virusi ambukizi vinavyotokana na kuumwa na mdudu Mbu.
Ugonjwa huu hupatikana sehemu mbali mbali hasa bara la Afica, Ashia na India.





DALILI

Dalili zake hufanan kwa ukaribu na Dengu na Zaki fever Kichwa kuuma , joto mwilini, kuwashwa na mwili, kuhisi kuchoka,kuumwa na tumbo, maumivu ya ndani ya macho na pia maumivu ya viungo mwili mzima.








MATIBABU

Huhusisha madawa ya maumivu makali na maji kwa wingi.

Matibabu haya yamelenga upunguzaji wa maumivu na kwa mara nyingi wagonjwa hupona baada ya wiki moja ama hadi virusi vinapoisha mwilini.


Comments