VIDEO




Ni baada ya muda mrefu tangu adondoshe ngoma kali kama ilivyo kawaida yake. Msanii wa miondoko ya Hip Hop ameamua kuvinja ukumya wake. Msanii mwenyewe anajulikana kama Kaa la Moto na wimbo wake mpya kwa jina MAJINI.


                                      Kaa La Moto - Majini

Comments

Post a Comment